Saidia hii ndoa

Okol36

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
1,565
Reaction score
779
Hamad alialikwa harusini, Usafiri wake ni Baiskeli. Wakati anaikagua akakuta ina pancha, akamwambia mkewe atangulie kwa miguu yeye azibe pancha, mke akiwa njiani akaingia kichakani kukojoa, kumbe nyuma ya kichaka kuna jamaa naye anakojoa, wakati Hamad anafika Eneo lile akamwona mke wake anapandisha chupi, na jamaa anatokea anafunga zipu!! Hem Mpe ushauri Hamad upesi ili ndoa yao isivunjike, utamshaur nini.
 
Wewe ndo utakuwa shahidi wao mzuri 7bu umesema wote walkuwa wanajisaidia na c ku.....ana fanya fanya uwatetee
 
Mimi ni mshauri wa ndoa nyingi sana aiseee lakini hii ya hamad ngumu!
 
Wewe ndo utakuwa shahidi wao mzuri 7bu umesema wote walkuwa wanajisaidia na c ku.....ana fanya fanya uwatetee

wacha nijitie kimasomaso kama ntaelewka
 
sasa mm ndo hamad mwenyewe cwezi kufanya chochote nshajua awaja******.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…