mae hujaachaga wivu tu kwa Sauda???...lol!!! avae matenge kwanianaenda dhifa za kitaifa bana....
afu hiyo 'shindilia yake ni hiy hiyo au anapenda za hivo!!!
hongera mwayego wengine wanakuona wa nini kumbe kaka braza alikuwa anajiuliza atakupata lini...
Lol @ Bee
Sidiria za hivyo poa lkn ukikaa nayo muda mrefu unaona kama umewekewa tofali kwenye shingo!! Hehehe
hapo kwa shem ndio nimebloo...lakini poa wakati wa kwenda salon....mnatinga wote....balobi mingi....pona nini....
mae hujaachaga wivu tu kwa Sauda???...lol!!! avae matenge kwanianaenda dhifa za kitaifa bana....
afu hiyo 'shindilia yake ni hiy hiyo au anapenda za hivo!!!
hongera mwayego wengine wanakuona wa nini kumbe kaka braza alikuwa anajiuliza atakupata lini...
na wivu utaniua mae chaaa! rangi ya kucha je?.....braza kaka indeed! mweh, kaka nae alishindwa kusuka hizo nywele vzr?.....na MC nae hako ni kablauzi amesahau kuvaa sarawili au?....nikija kwenye strechmark kwa mrembo hapo down...mhhh wadada vaeni kuendana na miili yenu jamani, bht nimem miss Pearl kichizi, una mawacliano nae? mwambie dadake nimem mic jamani.
Lol @ Bee
Sidiria za hivyo poa lkn ukikaa nayo muda mrefu unaona kama umewekewa tofali kwenye shingo!! Hehehe
Wenyewe wanamuita malkia wa mikorogo cheki kwenye jointi za kwenye vidole ahahahAaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
hahahaaaa lol....eti kablauzi amesahau kuvaa sarawili!!!!! sasa mae ukiangalia umbo mbona fesheni zitakupita bora uondoke hivo hivo tu wallah!!
huyo kaka ina maana alimvisha pete kwa kutumia mdomo au?? khaa jamani uchafu mwingine bana!!!! mae kucha naona mbandikaji alikuwa na miadi na mteja mwengine bana!!
twinushka Pearl is running out of time my dearest...hata mimi ni once a week tu!!
Sasa hapo mwanaume ni nani maake naona wote wamesuka nywele na wamevaa nguo za kitchen party(zakumelemeta)
Preta saidia mimi tafadhali hapo....
Acha wivu mtoto wa watu anapendeza sana tena akiongezea na mkorogo ndiyo usiseme kabisa.