ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
wabunge wengi wa ccm ni waumini wa waganga wa kienyeji ndio maana wamempenyeza professor maji marefu kuwa mbunge kwa sababu viongozi wengi wa ngazi za juu walikuwa wateja wake hivyo nchi hii haiongozwi kwa taaluma bali ni nguvu za giza,yakiwemo majini ,mashetani na mapepo mabaya mengi yanayowafanya watumishi wake kumfanyia hata mtetetzi wa madaktari dr ulimboka ndio maana mbunge 1 wa chadema anauwezo wa kuongoza safu za wabunge 50 wa ccm kwa sababu wao wengi wao wanaongozwa na mapepo na si taaluma.
Kigs ana visa utafikiri mdogo wake Lusinde!
"Wanapenda mtu wa ndiyo na mimi bahati mbaya sana siko hivyo" kigwa bana, Unakumbuka issue ya kung'oa PM na hoja ulizokujanazo humu JF? umesahau ulivyopitisha ile bajeti kwa mbwembwe? hlf leo unadai wewe sio mtu wa ndiyo mzeiya!!
Kigs, siyo muungwana, alichotakiwa kufanya ni kumpongeza mh. Mtanda kwa kushinda, kwa sababu uchaguzi ulikuwa fair. Maneno anayoongea hapa yanadhihirisha kwanini hakushinda uchaguzi wa bodi ya Muhimbili, na chaguzi nyingine, anajiona yeye ana akili nyingi na uwezo mkubwa kuliko wengine. Siasa wakati mwingi huhitaji watu kukupenda na kukubali, ukiwaona wenzako ni wajinga na wewe ndio mwenye akili, hawawezi kukupenda.
Mhe. H K, hama tiGo njoo Voda fasta inayotikisa Chama Cha Mwabwepande kila kikicha and for sure utawakilisha na 2015 utachaguliwa. Nakuhakikishia kama utabaki huko kwa Magamba hata 2015 watakuengua. Tulia tu kwa sasa ila ikifika 2015 ukishapokea marupurupu yako ita press conferene na aga. Wakuu msiseme pengine nasujudu posho au mapato ya mbunge kwa sasa ila sitaki aishi maisha ya tabu, acha ale mihela yao kwa sasa maana hata akiiacha wenzake watabwia tu.
Nikisema mimi s muumni wa siasa za "ujana" watu wenhi hawanielewi.!!
Maybe you are right...
Sema Wabunge wa CCM.Hii thread najua haikuja kihivyo lakini Wabunge ndio wwanavyomuona Dr HK
Zitto Kabwe, William Ngeleja, Laurance Masha, Malima, Maige hawa ni sehemu tu ya vijana waliotuangusha, hata mimi si muumini wa siasa za ujana, uongozi si kazi ya kubeba zege.Asante sana MMK,
Mimi niliacha kuwa muumini wa siasa za ujana mwezi May 2012.
Elimu yenyewe katumia majina ya watu badala ya jina lake la Said Bangile