Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 ameeleza kukishtaki chama mahakamani kwenda kukiua bali kukiimarisha ili ifanikiwe, na wanaokumbatia na kumtafuta Hamad atoe matamko ndio wana lao jambo ambalo ni kuidhoofisha CHADEMA Zanzibar.
Pia soma > Said Mohamed: Kesi ya mgawanyo wa mali za chama niliyofungua ina baraka za viongozi wa CHADEMA Zanzibar