Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Wadau ni siku nyingi
sijasikia kuhusu mpambanaji Kubenea. Mwenye kujua sababu za ukimya huu,
pls atujuze, yupo nchini au yuko wapi?
Kweli na mimi nimemuona. Lakini wanagazeti jingine liitwalo Mseto kwa hiyo bado yupo katika sekta ya habari na huenda gazeti lake likafunguliwa kwani serikali imekosa hoja ya kulifungia kwa sababu habari ile ile ndio inayoongoza kila siku katika Tanzania Daima. Nafikiri ulikuwa ni ujinga wa kiongozi mmoja asiyekuwa na elimu sahihi. Huwezi kulifungia Mwanahalisi kwa uchochezi na wakati huo huo ukamshitaki mhariri wa Tanzania Daima kwa uchochezi lakini gazeti likiendelea likiendelea kuchapishwa! Hata kesi yenyewe ya Kibanda huenda ikafa kifo cha asili kwani kahamia kwao!Nimemuona jana wakati wanahabari walipopeleka maoni yao
kwenye tume ya katiba, sijajua anafanya nini kwa sasa...
aiseeeeeeeee babayangu naunga mkono hoja
sifikiri kama muuliza swali utapata jibu hapa hii ndiyo jf bwana mtu kusema hafahamu kwake sumu lazima atoe japo jibu la uongo ili naye aonekane yupo ha ha ha ha ha
Umekosea sana SIO 'babayangu' sema 'babaangu'!!......machamefasta.com
Kumbe Dalali anasoma QT ilii kutafuta qualification ya uongozi Simba.