Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,403
- 10,543
Sawa,maana hata wale wachezaji wakali wengine wa kigeni,waliowahi kuja kucheza hapa nchini, nao mlianza kuwaona nyinyi. Very ridiculous!Hakuna club hapa Tanzania yenye macho ya kuona wachezaji wazuri wa nje wa kuwasajili kama YANGA, ile mikia huwa inasubiri Yanga isajili yenyewe inyakuwe tu
Bad enough huwa wanaenda kuwa mizigo kule kwao.
Ref: Ajibu, B. Morrison na wengine.
Hivi ajibu alikuwa yanga? au simba?Hakuna club hapa Tanzania yenye macho ya kuona wachezaji wazuri wa nje wa kuwasajili kama YANGA, ile mikia huwa inasubiri Yanga isajili yenyewe inyakuwe tu
Bad enough huwa wanaenda kuwa mizigo kule kwao.
Ref: Ajibu, B. Morrison na wengine.
HahahaaAkicheza na Tuisila vile vibabu vya ile timu vitaishia mochwali
SAID THE LION OF BURUNDI' kwajina hilo wanalomwita sisi ni nani hata tusi msajiliKuna klabu wanasema wao hawasajili wazee..
Huyu Saidi ana miaka 33
Kwani yuko team gani?!Ajib alionwa na Yanga?
Sawa,maana hata wale wachezaji wakali wengine wa kigeni,waliowahi kuja kucheza hapa nchini, nao mlianza kuwaona nyinyi. Very ridiculous!
Ni Yanga ndo walianza kuwaona:William Fahnbuler (Liberia),Ramadhan Wasso (Burundi), Emeh Ezechukwu na Orji Obina (Nigeria), Patrick Ochan, George Owino, na Emmanuel Okwi (Uganda), Moses Odhiambo na Hillary Echesa (Kenya), Gerson Fraga (Brazil), Clatous Chama (Zambia) na wengineo.
Wote hao na wengineo waliletwa nchini na Yanga.Very ridiculous indeed!
Team ya Taifa Burundi.Kwani yuko team gani?!
QUOTETeam ya Taifa Burundi.
Kwahiyo huyu Ajib ni nyinyi yanga ndio mlimuona?Hakuna club hapa Tanzania yenye macho ya kuona wachezaji wazuri wa nje wa kuwasajili kama YANGA, ile mikia huwa inasubiri Yanga isajili yenyewe inyakuwe tu
Bad enough huwa wanaenda kuwa mizigo kule kwao.
Ref: Ajibu, B. Morrison na wengine.
Ninyi kwasasa mnawaona wachezaji aina ya kina fraga na wazee wa 60'sSawa,maana hata wale wachezaji wakali wengine wa kigeni,waliowahi kuja kucheza hapa nchini, nao mlianza kuwaona nyinyi. Very ridiculous!
Ni Yanga ndo walianza kuwaona:William Fahnbuler (Liberia),Ramadhan Wasso (Burundi), Emeh Ezechukwu na Orji Obina (Nigeria), Patrick Ochan, George Owino, na Emmanuel Okwi (Uganda), Moses Odhiambo na Hillary Echesa (Kenya), Gerson Fraga (Brazil), Clatous Chama (Zambia) na wengineo.
Wote hao na wengineo waliletwa nchini na Yanga.Very ridiculous indeed![emoji33]
Alikuwa Simba, akaenda kuwika vizuri Yanga wakamwonea wivu baada ya kumrudisha Simba akawa mzigo.Hivi ajibu alikuwa yanga? au simba?
Ameitwa timu ya taifa kwani..!Kwahiyo huyu Ajib ni nyinyi yanga ndio mlimuona?
Na wale akina yondani? Method mogela,zamoyoni mogela,, bathez, walikuwa wapi?Alikuwa Simba, akaenda kuwika vizuri Yanga wakamwonea wivu baada ya kumrudisha Simba akawa mzigo.
Ni kama Morrison tu.
Ukweli mtupu! wachezaji wachache wenye mapenzi na timu mfano. Mesut ozil,messi..Na wale akina yondani? Method mogela,zamoyoni mogela,, bathez, walikuwa wapi?
Duniani kote mchezaji akifika muda wake wa kuondoka anaondoka,,
Mchezaji hana mapenzi ya kwl na timu,,mpira ni kazi..
Mwenye mapenzi ya kwl na timu ni shabiki.
Hata hao wote mkuu watapita,,,shabiki atabakiUkweli mtupu! wachezaji wachache wenye mapenzi na timu mfano. Mesut ozil,messi..
Kweli kabisaHata hao wote mkuu watapita,,,shabiki atabaki
Kafunga goli moja na kutoa assus ya goli la 3Kafunga mawili mkuu anaibeba sana timu yake
Umemsahau Dany SerunkumaSawa,maana hata wale wachezaji wakali wengine wa kigeni,waliowahi kuja kucheza hapa nchini, nao mlianza kuwaona nyinyi. Very ridiculous!