mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Huyu dogo anapewa airtime ya kutosha tena kuliko wenzake sijui watu wanatakaje.Unajua watu wanapenda kulia kulia hata pasipostahili! Tena huyu Aslay hapa hapa JF niliwahi kusema watu waache kumvimbisha kichwa... dogo bado sana!! Manake only few weeks ago watu walikuwa wanazungumzia zama za Diamond za mwisho wa Diamond zimefika eti kisa Aslay!!!
Tukauliza hapa ikiwa watu wanafahamu hasa tasnia ya muziki... leo hata miezi 3 haijapita, wanaanza kulia kuhujumiwa wakati nyimbo zinachezwa kama kawaida!
Unaona sasa... nilisahau hilo la barua kwa mama! Na hapa nilisema, kama huyu dogo angekuwa na music mind, hiyo barua yake angeitengenezea mashairi kwa ajili ya social conscious song ili apige pesa badala ya kulia lia kutafuta huruma. Na hapa ndipo wanapopigwa bao na Diamond! Na yeye alikuwa na barua kama ya Aslay lakini ya kwake ni ya mapenzi kwa akina Wema!!!Huyu dogo anapewa airtime ya kutosha tena kuliko wenzake sijui watu wanatakaje.
Fiesta alikuwemo, jiwe la mwezi mara mbili bado interview kibao.
Sema yeye amechagua kutafuta public sympath mara barua kwa mama mara nimeanza mziki sina kitu na mengine.
Kama kweli waliibiwa na fella mbona wenzake hawalii kama yeye au alikuwa anaibiwa peke yake.
Tena wenzakd hawapati platform na support kubwa kama nayopewa yeye.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na sasa wamemzima kabisa HARMORAPA..!
😱Tatizo la Said ni fikra za umasikini , amekulia kwenye familia yenye njaa sana .
Kiukweli masikini hafai kuwa meneja hata wa club ya bao .
Ndio hivyo mkuu