Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
Arfi ni mchumia tumbo aliyekubuhu
mna macho lakini hamuoni wachumia tumbo REF: Bilioni 10
Baada ya kutoswa na ccm huko katavi Arfi alitangaza kukihama chama hicho japo hakutangaza anakokwenda.hadi sasa haifahamiki kama ataenda ACT TANZANIA au ataachana na siasa.
John Shibuda alikimbilia TADEA na baada ha hapo yuo kmya.
Wenye taarifa kuhusu wanasiasa hawa watufahamishe.
Kuwataja tu tayari weshaupata umaarufu. Let sleeping dogs lie. Hao ndi past stories, wengine wamejiendea kula kiinua mgongo chao
Arfi ni mchumia tumbo aliyekubuhu
mna macho lakini hamuoni wachumia tumbo REF: Bilioni 10
alafu nilizani hao jamaa wataenda ACT lakini hawajaenda ....wamekufa kisiasa
Unahitaji taarifa zaidi ya hizo ulizonazo? Subiri kampeni utawasikia tu.