Mungu gani anakufa?
Wahindi na akili zao zote bado ni wapuuzi sana.
He was a charlatan who used to abusive his young 'disciples', pengine sexually na kudanganyishia miracles za uongo na kweli. Actually kuna jamaa flani waliunda kikundi chao kumu-expose huyu na miujiza yake bandia. The trend is obvious, hivi hamjiulizi hii miujiza na watenda miujiza kwanini isiibukie kwa nchi tajiri kila watu waka-prove kisayansi na tukapata kuamini?
View attachment 28010
Yule Spiritual leader wa kihindi Saibaba kafariki jana jumapili asubuhi baada ya kusumbuliwa na magonjwa mbalimbali(multiple organ failure actually). Society yake ya kiroho ilikuwa inaitwa Guru(jina la miungu ya kihindi) na alikuwa akisifika sana kwenye kufanya miracles na alifahamika sana kwa ile staili yake ya nywele, alikuwa na mamilioni ya wafuasi dunia nzima.
Sijajua kwa hapa bongo haya mabasi yanayosafiri Mikoani ni kati ya Assosiation za huyu kiongozi au la, mwenye kujua atujuze.
Alizaliwa 23 Nov 1926-24 April 2011. R.I.P.
mungu gani anakufa?
Wahindi na akili zao zote bado ni wapuuzi sana.
Duh taratibu mkuu!!haya ni mambo ya imani ndugu...ni jana tu tumesherehekea pasaka aka kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo-wakristo tunaamini huyu ni Mungu pia,alikuja kama mwanadamu na akasulubiwa na akafa-baada ya siku 3 akafufuka. Wahindi ni level nyingine kwenye imani za miungu.
Usishangae hata Amitha Bhachan au Sharuakhan wakaitwa miungu si muda mrefu...lol
Kumbe hata wewe akili zako za kihindi hindi,pole.Hivi huoni kwamba kumlinganisha Yesu na Sai Baba ni kama kulinganisha kifo na uhai.Kwanza mtu mwenyewe maisha yake yalikuwa contravesial kupindukia.
kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia kuwa saibaba ni Freemason