Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Zimepatikana Sahihi 75, hii inamaana ni wabunge 75 kutoka vyama vyote vyenye uwakilishi kasoro UPD vimeshiriki katika zoezi la kihistoria,
Je hawa wabunge 75 aka G75 tuwaenzi vipi, wanatuhitaji sana na kuna wengine ambao sasa wanapata tabu kutoka kwa viongozi wa vyama vyao kwa kushiriki zoezi hili, je G75 tunawaenzi vipi ili kuonyesha tuko pamoja nao.
Hawa wamefanya tu stahili yao na hawahitaji reward ya ainna yoyote zaidi ya kusema wamefanya kazi tuliyoqatuma. Mawazo ya kuwapa ubunge ni mawazo ya JK ndivyo alivyoiua nchiThey Deserve mass respect and reward(kuwachagua tena 2015) for their Uzalendo!
Mkuu umeishakula pilau?They Deserve mass respect and reward(kuwachagua tena 2015) for their Uzalendo!