Ziada Mwana
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 201
- 22
Japo ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko chadema........................! Basi nilikuwa najaribu kujifurahisha tu kwa kupanga hiyo safu yao ya uongozi. Kwa kuwa hivi sasa lema ndio maarufu zaidi ya slaa (kizungumkuti cha arusha) safu itakuwa kama hivi. Rais= lema, waziri mkuu = slaa, biashara na viwanda = mbowe, maliasili na utalii = zitto, fedha = shibuda (no huyu amewanyea hawampi kitu), fedha = mnyika, mambo ya nje = lissu, wameisha duuu! Wizara nyingi zimebakia. Sijui niwaweke wale madiwani kule arusha? Bado wakuu wa mikoa, mabalozi,manaibu waziri. Chadema haina sifa ya kuongoza nchi.

kaka kusema kweli sina historia ya mbowe kwenye suala la fweza,nilikuwa nafikiria hapa hivi tukimpa mbowe uwaziri wa fedha nini kitatokea.
heee kumbe ni kaka??kaka kusema kweli sina historia ya mbowe kwenye suala la fweza,
nilikuwa nafikiria hapa hivi tukimpa mbowe uwaziri wa fedha nini kitatokea.
Hata kuku asingekuwa na mawazo haya!
Kama unatafuta bwana lipo jukwaa la MMU.Basi panga wewe uone kama kuna mtu anaefaa kuwa kiongozi wa nchi hii toka chadema.
nilikuwa nafikiria hapa hivi tukimpa mbowe uwaziri wa fedha nini kitatokea.
Kama unatafuta bwana lipo jukwaa la MMU.
Hapana nafasi hiyo inawafaa RA, Andrew Chenge, Basil Mramba aliyetambulishwa na Kikwete wenu kama Jembe la kufanyia kazi! au Karamagi ili amalizie kazi aliyokuwa ameianza ya kuifilisi kabisa nchi. Tatizo ni kwamba watanzania wameshawagundua na wanawavutia pumzi ili wamalizie pigo la mwisho ambapo CCM itakuwa historia kama wenzenu KANU hapo jirani, ila nyinyi tutawakamua mpaka mtapike mlivyotuibia. Huo utakuwa mwisho wa kejeli zenu maana mkivimbiwa pilau ya kifisadi hamchagui pa kujisaidia.nilikuwa nafikiria hapa hivi tukimpa mbowe uwaziri wa fedha nini kitatokea.