Mkuu Bulldog, asante, japo ni kusafisha macho tuu, tumeishia kutiana huzuni!.
Kiukweli macho yamesafishika, unanifanya mpaka niichukie ile tuk tuk yangu na kunitia unyonge kulaani umasikini!.
Thanks.
Pasco
Umepiga hatua, kuna wengine hawana hata baby walker
Dubai asilimia kubwa ya hizo gari zinatumika kama tax. Sijajua kwa nini!