Safisha macho

Ila kwetu hakuna barabara za kupita hizo gari...
 
Wabongo watakwambia zinakula mafuta, tushaathirika na vitz!!!
 
Wabongo watakwambia zinakula mafuta, tushaathirika na vitz!!!

Hhahaha, choices are always not the same

Na ndo maana yanatengenezwa kwasababu kuna watu wanayamiliki
 
Mkuu Bulldog, asante, japo ni kusafisha macho tuu, tumeishia kutiana huzuni!.
Kiukweli macho yamesafishika, unanifanya mpaka niichukie ile tuk tuk yangu na kunitia unyonge kulaani umasikini!.

Thanks.

Pasco
 
Hahaha unanikumbusha nilipokua CANADA.. SO BEAUTIFUL..
 
Hata barabara ikiwa nzuri,wachache sana watakao Mmiliki hizo,gari.Wengi tutaishia kununua migari ya kwendea Vijijini.
 
Dubai asilimia kubwa ya hizo gari zinatumika kama tax. Sijajua kwa nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…