Hiyo Bei ni one way au return?Kwa Safari za Dar-Arusha-Dar kila siku Aircraft type E120 Dar-Ark..
Muda wa Safari ni dakika 55..
Gharama za Usafiri ni 150,000Tzs.
Mawasiliano 0757640561
View attachment 1528161
Duuuh? Unataka Usafiri kwa elf 75 one way? Kapande kidia one mkuuHiyo Bei ni one way au return?
Duuuh? Unataka Usafiri kwa elf 75 one way? Kapande kidia one mkuu
Wala sijatukana!Wewe wa wapi mkuu watu tumesafiri na 56,000 return unaona ajabu kwa lak50 kuwa return? vipi nimeenda na 96,000 return Mwanza alaa acha kutukana watu wakati Kidia one ni only elf28.
Wala sijatukana!
Nadhani umesafiri na ndege wakati ule wa lile shirika lililofirisika!
Yawezekana baada ya hapo haujatumia tena usafiri wa anga!
Ukisafiri kwasasa na shirika lolote hapa Tz, Dar -Arusha go and return kwa 150,000/- nakuahidi nitalipa hiyo fedha
Nimekuelewa mpendwa!Hapana sio kwamba sijatumia usafiri wa anga nimetumia sana tuu na mimi ni mmoja wa wanaotumia dreamliner vema.
Shida inakuja unapomwambia mtu kwamba haiwezekani kuwa na return ya lak50? Na nimefungua huu uzi nikidhani labda kumekuwa na unafuu wa usafiri sasa kuliko upande hii return ya lak50 kwanini usipande hizo bombadier na Dreamliner ambazo ni comfortable? na return ni only 320000?
Nimeuliza swali based on Tangazo.Wala sijatukana!
Nadhani umesafiri na ndege wakati ule wa lile shirika lililofirisika!
Yawezekana baada ya hapo haujatumia tena usafiri wa anga!
Ukisafiri kwasasa na shirika lolote hapa Tz, Dar -Arusha go and return kwa 150,000/- nakuahidi nitalipa hiyo fedha
Mkuu,unalipwa kwa hii kazi?Kwa Safari za Dar-Arusha-Dar kila siku Aircraft type E120 Dar-Ark..
Muda wa Safari ni dakika 55..
Gharama za Usafiri ni 150,000Tzs.
Mawasiliano 0757640561
View attachment 1528161
Hapana sio kwamba sijatumia usafiri wa anga nimetumia sana tuu na mimi ni mmoja wa wanaotumia dreamliner vema.
Shida inakuja unapomwambia mtu kwamba haiwezekani kuwa na return ya lak50? Na nimefungua huu uzi nikidhani labda kumekuwa na unafuu wa usafiri sasa kuliko upande hii return ya lak50 kwanini usipande hizo bombadier na Dreamliner ambazo ni comfortable? na return ni only 320000?
Hivi vidude vikipigwa upepo vizuri utavijua, bora hata ikiwa 350k upande bombadia kama ni return