Wakuu,
Nipo safarini Tabora to Arusha na ile gari inayopatikana katika orodha ya magari yanayoenda kasi sana kwa sasa, Coast line. Kwakweli ni tatizo hii gari ila sina namna, hata Pinda alisema hakuna namna ni kupigwa tu.
Kwa sasa tunaitafuta Singida, tungekuwa tumepita but traffic walizuia gari sehemu kwa muda mrefu. Hofu yangu ni huko mbele kutokana na hali halisi ya mgomo. Nimepata taarifa ya mabasi ya Shaby yalivofanywa huko Mbezi Dar.
Barabara ni nyeupe hakuna mabasi tunayokutana nayo siku zote.
Arushaone,masai dada na WanaJF wa Arusha nahamia kwenu plz.
"Sema Hapana Kwa CCM Hapo October, 2015. Mwambie na mwenzako".
Huna namna hadi kwenye kufa?
Safari Njema Na Kumbukeni Tu Kuwa Kwa USALAMA Wenu Mwambieni Dereva Wenu Asiwashushie Kituoni Kwani MNAWEZA Msitoke Salama Na Mkajikuta Mnakaribishwa Huko Arusha Kwa Mkong'oto Kutoka Kwa Waliogoma. Umekumbuka Kubeba Power Bank Lakini?
Mkuu, kwenye thread yako mimi nimependa sana hapo nilipobold.Nitaeneza ujumbe!Wakuu,
Nipo safarini Tabora to Arusha na ile gari inayopatikana katika orodha ya magari yanayoenda kasi sana kwa sasa, Coast line. Kwakweli ni tatizo hii gari ila sina namna, hata Pinda alisema hakuna namna ni kupigwa tu.
Kwa sasa tunaitafuta Singida, tungekuwa tumepita but traffic walizuia gari sehemu kwa muda mrefu. Hofu yangu ni huko mbele kutokana na hali halisi ya mgomo. Nimepata taarifa ya mabasi ya Shaby yalivofanywa huko Mbezi Dar.
Barabara ni nyeupe hakuna mabasi tunayokutana nayo siku zote.
Arushaone,masai dada na WanaJF wa Arusha nahamia kwenu plz.
"Sema Hapana Kwa CCM Hapo October, 2015. Mwambie na mwenzako".
Hahahaaa jembe afrika tena waambie nipo Katesh muda huu,najua bado sn.Yani kama masai dada ndo nina usongo naye sn nimpleke Shiva-club weekend!!!! anapajua mambo yake.
Hapa nawaza niende mpaka kwa miss chagga pale mo! moshi babaaangu!