Safaricom's MPesa Transacted $68 Billion... More Than Tanzania GDP

kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
4,347
3,734
Safaricom has today announced its full year results ending March 2017.

Here are the key points. (Figures in Kenya Shillings)
  • Net Profit - 48.4 billion
  • Service revenue up 14.8 per cent to Sh204.1 billion.
  • Total customer base increased by 11.8 per cent to 28.1 million.
  • Voice service (incoming and outgoing) revenue rose by 2.9 per cent to Sh93.5 billion.
  • SMS revenue declined by 3.7 per cent to Sh16.7 billion.
  • M-Pesa revenue increased by 32.7 per cent to Sh55.1 billion.
  • M-Pesa transactions totaled Sh6.8 trillion
  • 30-day active M-Pesa customers increased by 14.6 per cent to 19.0 million.
  • Mobile data revenue grew by 38.5 per cent to Sh29.3 billion.
  • 30-day active mobile data customers increased by 18.1 per cent increase to 16.6 million.
  • Fixed service revenue growth of 37.4 per cent to Sh5.2 billion.
C_cUMroXkAAtQu5.jpg

Safaricom has also introduced an MPesa card to make payments easy.
The card is linked to your Mpesa account, and all you need to do is tap the cashier's device.
If you don't want the card, you can opt for a wrist band or an NFC sticker for your phone. They work the same.

C_cXNHBXkAE0RFK.jpg
 
Hapa ndo mnaambiwaga nyie ni wajinga unashindwa tofautisha ksh na usd. Haya tuoneshe hiyo transaction iliomzid mpaka warren buffet iko wapi?
1$=101 KSH..... Kwahivyo hapo imeandikwa Mpesa transaction totalled 6.8 Trillion, translation to $68Billion
 
Shida gani yako?
Mpesa transactions were 6.8 Trillion Kenya Shillings. Yaani $68 billion.
Kweli TZ mnashida kubwa ya masomo. Chart iko hapo, huwezi soma?
mwache..he thinks we are talking abt Tanzanian Shillings...a useless currency...naskia kwao ukienda Nakumatt unaenda na mabilioni kununua several household items...:D:D:D:D ...forgive him...peremende ya shilingi moja huko ni 20 bob...tissue ni 400...lol!
this is how tanzanian and zimbabwean kids go to the shop to buy toilet paper...
Kenya-Zimbabwe-twitter-war-8.png
 
my fren....hii ni USD...wacha ujinga...68Billion Kenya shillings Mpesa transacts in one month only...
Nadhani itabidi mfundishwe accounting terms. Angalia juu kuna sehemu wameandika full year ending march 2017 point ikiwa ni income statement ambayo mwaka wake umeishia march.
Ukishuka chini figures are in kenyan shilling more than that hizo 205b ni transaction tu. Mtu kaweka milion kamtumia laki juakali.
 
tafta sources kwanza before uje kucomment...usicomment tu chenye hujui....watu watakuona mjinga...nadhani ukinda kwa google search utapata majibu...usijiaibishe hakikisha kwanza
 
1$=101 KSH..... Kwahivyo hapo imeandikwa Mpesa transaction totalled 6.8 Trillion, translation to $68Billion
Naomba ulete hiyo factsheet sabab iliyopo hapa ni 204b in kenya shiling ambayo kulingana rate uliyotoa wewe ni sawa na usd 2bil kama hujaelewa rudia kusoma alichoandika mwenzako
 
Shida gani yako?
Mpesa transactions were 6.8 Trillion Kenya Shillings. Yaani $68 billion.
Kweli TZ mnashida kubwa ya masomo. Chart iko hapo, huwezi soma?
u idiots respond kwa aliyekuuliza stop including all Tanzanian after all izo data za safaricom zina impact gani kwa wakenya maskini walio na njaa uko samburu? at list uwe proud na issue zinazofanywa na government na zinakuwa na long positiv impact kwa citizen direct
 
Nadhani itabidi mfundishwe accounting terms. Angalia juu kuna sehemu wameandika full year ending march 2017 point ikiwa ni income statement ambayo mwaka wake umeishia march.
Ukishuka chini figures are in kenyan shilling more than that hizo 205b ni transaction tu. Mtu kaweka milion kamtumia laki juakali.

$68 billion ni zenye wakenya walipitisha kwa Mpesa. Haimaanishi zote ni revenue ya Safaricom.
Naomba ulete hiyo factsheet sabab iliyopo hapa ni 204b in kenya shiling ambayo kulingana rate uliyotoa wewe ni sawa na usd 2bil kama hujaelewa rudia kusoma alichoandika mwenzako

204 billion ni revenue ya Safaricom yote (including Mpesa).
Out of that, M-pesa imecontribute Sh55 billion.

The amount of money sent and received through Mpesa in the last 1 year is Sh6.8 trillion, yaani $68 billion.
From this amount, safaricom takes a small fee every time a transaction is made. Hizi small fees ndizo zimefika Sh55 billion.
 
tafta sources kwanza before uje kucomment...usicomment tu chenye hujui....watu watakuona mjinga...nadhani ukinda kwa google search utapata majibu...usijiaibishe hakikisha kwanza
Source mwenzako kaileta umeisoma au umekurupuka soma mwanzo mwisho kama hzo transactions ziko kwa dollar then angalia hiyo total ni kiasi gani then convert ukipata jibu njoo unitake radhi
 
u idiots respond kwa aliyekuuliza stop including all Tanzanian after all izo data za safaricom zina impact gani kwa wakenya maskini walio na njaa uko samburu? at list uwe proud na issue zinazofanywa na government na zinakuwa na long positiv impact kwa citizen direct
So many people are employed by Mpesa as agents. Ama unadhani hio $68 billion inapitia kwa hewa tu?
The more transactions are made, the more the agents earn.
 
Na GDP ya Kenya kwa sasa ni ngapi? 2015 ilikuwa around usd 63bn. I doubt if its more than usd 68bn by now! Given the growth rate of less than 6pct.
 
Nadhani itabidi mfundishwe accounting terms. Angalia juu kuna sehemu wameandika full year ending march 2017 point ikiwa ni income statement ambayo mwaka wake umeishia march.
Ukishuka chini figures are in kenyan shilling more than that hizo 205b nNi transaction tu. Mtu kaweka milion kamtumia laki juakali.
Nakuomba tu, ukae kimya. Hauna hoja.
 
u idiots respond kwa aliyekuuliza stop including all Tanzanian after all izo data za safaricom zina impact gani kwa wakenya maskini walio na njaa uko samburu? at list uwe proud na issue zinazofanywa na government na zinakuwa na long positiv impact kwa citizen direct
Maskini in particular ndoo wamenufaika zaidi na hizi huduma za safaricom Mpsea.
 
Back
Top Bottom