Safari za treni kwenda Kaskazini zilisitishwa na Serikali ya chama gani?

CCM wanajitekenya na kucheka,utadhani sio wao waliong'oa reli
 
Siasa za kibongo kwa hiyo,wangesubiliwa hao wengine siku wakiingia madarakani ndipo ifufuliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…