1---HAKIKISHA ASIWE MWANA CCM.
hawa watu kama wanadiriki kujifanya hawaoni ukweli , wanafiki, ashindwe kukunafikia ???
Ivo kwanza, asiwe mwana CCM.... Utanishukuru.
2--Asiwe Mwembamba, wanawake wembamba( siwasemi vibaya) ila ukweli wengi wao ni wachoyo. Waongeaji, wanunaji, wepesi wa hasira. Hawapendi kula wala kupika...LABDA MPAKA AKUHAKIKISHIE KUA ATANENEPA UTAKAPOKUA UNAMTUNZA NA KUMLISHA..lkn km pamoja yahayo hanenepi , Piga chini.
[emoji117][emoji117]Tafuta Bikra, ukikoswa hakikisha ni mwanamke Mcha Mungu kwelikweli ... Alafu asiwe Mnywaji pombe ( kama unabisha, endelea kusoma nyuzi za wana humu namna ambavyo wanagongewa wake sababu ya ulevi n.k)
Sheria ni ngumu ila ni sheria.