gari panda superfeo hotel fikia UGABE hotel ipo stand hapo hapo ni nzuri kwa songea room ni 25,000/ na 35,000/ ni mpya ya ghorofa 3 imefunguliwa tar 5 mwezi huu mkuu
Karibu sana mkuu hapa songea.nauli ni 45000/=. basi zuri la wewe kupanda ni Superfeo na hotel au lodge nzuri ni Heritage cottage.Hii ipo njiani kabisa eneo la msamala unashuka gari kituo cha Mauki.Hapo nyuma tu ni hotel wala huhitaji taxi.