kombo mzalendo
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 118
- 11
Aliyewahi kua waziri mkuu wa tanzania mh LOWASA apanga kesho kukutana na wanafunzi wa vyuo vya eli
mu ya juu JIJINI ARUSHA ili kuzungumza nao .ikiwa ni moja ya hatua ya kuanza safari yake ya matumaini.HATA HIVYO LOWASA ATAZINDUA RASMI SAFARI YAKE HIYO SIKU YA JUMAMOS KWA KUWAHUTUBIA WANANCHI WA JIJI LA ARUSHA KATIKA UWANJA WA SHEKH AMR ABEID.