Safari ya Marekani

A3M

Member
Joined
Jul 23, 2019
Posts
84
Reaction score
179
Habari wana JF,
Nimebahatika kupata visa ya kwenda Marekani kwenye mkutano utakaofanyika Washington D.C tarehe 19 August mwaka huu.Itakuwa mara yangu ya kwanza kupanda ndege hivyo hata taratibu za Airport sizijui hivyo sitaki nipate aibu nitakapofika pale uwanjani kwa kutojua cha kufanya.Tafadhalini kwa mwenye uzoefu anisaidia kwa kunieleza step by step.Natanguliza shukrani kwa atakaenisaidia
 
Jamaa usibebe perfume wala lotion haziruhusiwi kwenye ndege acha nyumbani utanunua hukohuko mengine utajulishwa kwenye line ya kuingia uwanjani, kuwa makini kusikiliza malekezo hasa mtakapokuwa mnabadilisha ndege Ulaya au ASIA kutegemeana na shirika utakalosafiri nalo. unaweza achwa shehe!!
 
Ni kweli bila kuwepo utani kwenye mambo serious huwezi kupata usaidizi.
Airport hamna cha kuogopa mtoa mada asiogope awe makini tu na mizigo yake wasije wakampandikizia madawa ni kufuata taratibu tu mkuu uliyetoa mada

Samahan kama tumekukera mimi na viatu vya samaki 😅
 
Reactions: A3M
Airport hamna cha kuogopa mtoa mada asiogope awe makini tu na mizigo yake wasije wakampandikizia madawa ni kufuata taratibu tu mkuu uliyetoa mada

Samahan kama tumekukera mimi na viatu vya samaki [emoji28]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Moderators wamefuta komenti zetu hawajui tunapozitoa.

Hii tabia ife kuanzia leo.
 

Si kweli hii!! Unabeba vizuri tuu isipokuwa haitakiwi kuwa katika begi unaloingia nalo ndani ya ndege!! Inatakiwa viwe katika begi litalokaa sehemu ya mizigo!!

Hata hivyo, mabegi yanaoingia sehemu ya mizigo pia hutakiwi kuweka baadhi ya vitu vya electronic kama laptop, simu mkononi au power bank! Unatakiwa kuweka kwenye begi dogo utaloingia nalo ndani!!
 
Kuna Uzi Humu Utafute Unaitwa VIROJA:SIKU YA KWANZA KUPANDA NDEGE USHAMBA MZIGO
Nimeshindwa Kuweka Link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…