Safari ya maisha

bazl

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
446
Reaction score
598
Wakuu habari za mihangaiko,huu uzi unalengo la kupeana changamoto tulizokumbana nazo siku tulipo toka nyumbani na kwenda kuanza maisha rasmi
Mimi nilikutana na changamoto ya kupamiss home yani hadi nikawa natamani kurudi!
Kitu kingine niliweza kuanza na kakitanda na godoro lakini mpunga wote ulikata nikawa sina hata ndoo ya kuogea yani daaah
 
Du upon serious na ujumbe wako kweli
 

Hahahaha
 
Mtoa maada alitaka tuone kitanda kiipya na godoro alonunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…