Safari ya maisha ya Dr. John Pombe Magufuli

Safari ya maisha ya Dr. John Pombe Magufuli

mahwahwajr

Member
Joined
Jun 10, 2010
Posts
18
Reaction score
22
Ndugu Wanabodi,

Leo mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr John Pombe Joseph Magufuli anazindua kampeni zake. Hatua hii ni muhimu katika mchakato huu. Vyama vingine vitafuatia.

Anapozindua kampeni zake, ni muhimu Watanzania tukaendelea kumfahamu ni nani...kama ambavyo tunapaswa kuwafahamu pia wagombea wa vyama vingine. Picha zifuatazo zinaeleza anakotoka Dr Magufuli.

3 (3).jpg
Picha hii iliyopigwa mwaka 1970 inamuonyesha Babu yake, mzee Marco Bulogwa Nyahinga na Bibi yake, Anastazia Nh'uhi Taabu. Picha (family album).

Pia gazeti la leo la MZALENDO limetoa kwa kirefu historia (the story of Mr John Pombe Magufuli).
3 (1).jpg 3 (2).jpg 3 (4).jpg

Picha hizi hapa chini pia zinaonyesha "safari" ya kimaisha ya Dr Magufuli.
11111.jpg 2.jpg View attachment 279507 Magufuli and wife.jpg 3.jpg

Tumfahamu!!
 
Back
Top Bottom