Ni baadhi tu wamejitwika ufilauni na usodoma ndani Yao kwa hatua niliofikia ntajipatia Mzee mmoja maridad kabisa niwe nimemaliza mahangaiko ya Dunia ibaki kuangaikia ufalme wa mbingunNimecheka hata kabla sijamaliza kusoma story,, nimeishia hapo kutoka tunduma kufata muhogo[emoji23][emoji23][emoji23]haya tuendelee
Yani hapo ukapata uchovu mara mbili si ajabu hata kaorgasm kadogo hukupata, pole Sana
Ndo maana mie napenda wababa, wastaafu[emoji23][emoji23] wanajielewaga, 34 yrs kwa wanaume wengi bado hawajakomaa ktk kusimamia matamanio yao ya kingono
Sasa nawe umo ndani na hao wake wenzio?Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mnoo [emoji16]. Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha
Katika miez mibovu kwangu ni pamoja na huu nimesafir KUFATA MHOGO Arusha kutoka tunduma
Wanaume kuweni na aibu ata kidogo basi aiwezekan uwe unabadilisha wanawake kama nguo na wote unawapeleka nyumba unayoishi mnaboa wenye tabia za Ivo sana katika katiba mpya hili swalatutaomba liwepo kuwafunga wanaume wa hivo
Nimefka Arusha salama lakin nakutana na vituko namna hii mwanaume age34 Bado unaangaika na bint wa 16yrs men stop this pls[emoji120] haitoshi mama mwenyenyumba hakai hapo ila ndo anagombaniana na vidada MHOGO yaaan akikuta kadada anakaramba makofi hio si laana?
Lait ningejua kuwa mahusiano ya mbali umoja wa mataifa ndo wanaweza nisingejihusisha na haya mahusiano ambayo mpaka sasa sijui yalikuwa yanahusiana na Nini
Nawapa taadhari acheni kizifata mbunye na papuchi mbaliii mtajakupigwa vitu vizito dumu na yule mtu wako wakaribu kama tu hakuletei U.T.I
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi bila Namba yako ni chai
Punguza hasira mdada, ulimwengu ndio upo hivi siku hizi.Npo kwa gar narud zangu kwangu hamu na mwanaume Sina nimeshavuliwa nguo vyakutosha
shuka Tanga nikufute machozi siunajua mapenzi ndipo yalipozaliwa 😩Npo kwa gar narud zangu kwangu hamu na mwanaume Sina nimeshavuliwa nguo vyakutosha
Pitia hapa darisalama ukutane na mzabzabNpo kwa gar narud zangu kwangu hamu na mwanaume Sina nimeshavuliwa nguo vyakutosha
Mzee nko Apa wahi kabla pensheni haijaishaNi baadhi tu wamejitwika ufilauni na usodoma ndani Yao kwa hatua niliofikia ntajipatia Mzee mmoja maridad kabisa niwe nimemaliza mahangaiko ya Dunia ibaki kuangaikia ufalme wa mbingun