SAFARI KUELEKEA MAFURIKO:
Jaman safari ya mafuriko imeanza,hapo vepeee??
![]()
Hahaaa tulishawajua nyie ccm heti mnachukua gar mnavaa nguo za chadema halaf mnajidai eti na nyinyi mmebebwa ili ukawa nao waonekane wanasomba watu....tushawashtukia na hatudanganyiki uzur ni kuwa sisi huwa hata kabala ya mkutano tushawasili bila ya kufwatwa
Poleni sana kwa majikufika shingoni poleni sana vijana wa IT masaki kwa kaz ya upotoshaji hakika kadri siku zinaenda mnazid kutapatapa