Safari ya kagera yaishia moro

Safari ya kagera yaishia moro

Joined
Jun 17, 2011
Posts
20
Reaction score
5
Gari la Falcon lenye number za usajili T847BGU linalofanya safari zake nchini Tanzania na Uganda kwa kupita mkoani Kagera ambalo limeanza safari jana alfajiri na katika majira ya saa nne asubuhi liliharibika katka eneo la MSAMVU mkoani Mogoro na mpaka naandika habari abiria hao walikuwa wanazaidi ya masaa ishini tano wakiwa katika eneo.

Chakushangaza ni kwamba abiria hao hawana tarifa yoyote kutoka kwa wamilliki wa basi hilo.
"yaani hatuna hata la kufanya maana hata tukiongea hakuna anayetujibu, watoto ndo wanatia huruma kama mimi hapa nimesafiri na watoto wangu wawili na mtoto wa wifi yangu nateseka"ameeleza mmoja wa wasafri hao ambae alijulikana kwa jina moja la mama Silvia.

Nilipo muuliza kama wanaona kuna mpango wowote wakuletewa gari kutoka Dar au kurudishiwa nauli zao alieleza kuwa "sidhani kama kuna mpango wowote maana hawa watu hata hawatujibu kitu"
 
Hao wafanya biashara wa mabasi wana viburi kuliko shetani
 
Back
Top Bottom