Wadau nimepanda meli ya Mv Victoria naelekea bukoba, kwa mujibu wa tiketi twatakiwa kuondoka saa 3.00 kamili usiku ila mpka sasa haijulikani tutaondoka saa ngapi, na hakuna wahusika wa meli hapa.

We ni mgeni mkuu? wenyeji tulishaacha kutumia huo usafir muda mrefu sana! hizo meli ni za kusafirisha mizigo sio abiria! nakushaur siku nyingine tumia usafir wa mabus ni mengi sana na ya kisasa na kila muda utakaojisikia kusafir utapata gar!