Jamaa waliagizwa kreti za bia na Mwenyekiti wa kijiji ambaye ana shughuli ya harusi ya bintiye.
Gari si ikawaharibikia porini, kupiga simu msaada subiri wee hola. Wakaona ujinga!
Si wakaamua kuzilamba bia zote na kulisakata sebene !
Hapo ndio wanamalizia