safari na music

Dah! hiyo ndio unatinga nayo koko beach pale...watakomaje??
 
Kichwa cha habari kimenimumbusha mbali sasa, miaka kama 40 yuma palikuwa na taxi moja milokuwa inaegeshwa pale Mnazi Mmoja ikiitwa SAFARI NA MUZIKI ilikuwa inaendeshwa na mjanja wa mjini fulani akiitwa Kandanga, sijui yuko wappi bwana huyu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…