Safari na maajabu ya Amboni

Kuna hari ya ubaridi muda wote ni mwamba wa chokaa so habari nzuri hakuna nyoka anaweza ishi as hakai kwenye chokaa so ni safe mwanzo niliogopa ila baada ya kuambiwa hivo nilikua huru na kuenjoy
dah hata mimi leo nilipoanza kupewa maelezo nikiwa nje niliogopa sana lakini kadri nilivyokuwa nikizidi kuingia ndani ndivyo nilivyozidi kuhamasika na kupenda kuingia kila mahali.
sikutamani kutoka hata kidogo.
ni pango la ajabu sana duniani.
 
dah hata mimi leo nilipoanza kupewa maelezo nikiwa nje niliogopa sana lakini kadri nilivyokuwa nikizidi kuingia ndani ndivyo nilivyozidi kuhamasika na kupenda kuingia kila mahali.
sikutamani kutoka hata kidogo.
ni pango la ajabu sana duniani.
Kweli kabisa
 







 


Njia hii ndio waliyopotelea wale Wazungu wakiwa na Mbwa wao ambaye aliweza kuonekana Mombasa, inasadikiwa kuwa kuna shimo lililoungana na bahari kwa hiyo wali wazungu walitumbukia na kufa lakini kwa uwezo wa Mungu Mbwa aliweza kuogelea
 


Hapa ndipo kwenye Mwamba wenye umbo la kitabu
 
Kero yangu kuu hapo amboni....ni kuwa yapo mapa go mengine 72 kwann wasiyafa yie research yawe kivutio pia?
 
Kuna kale ka njia unapita umeinama. Sasa Kuna ndugu yetu Yuko mnene sana tulienda naye.

Tukamuuliza guider huyu atapita kweli?! Akasema maajabu ya kile kinjia ni kubana

As in hata apite mtoto wa 2yrs kinabana. Huyo mnene kitambana ingawa kitatanuka size Fulani kumruhusu apite
 
Yeah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aya mambo bhana. Wanasema Kuna wazungu waliendaga kweli hawakurudi.
Yeah aliyefanikiwa kufika ni mbwa wao tena baada ya siku 40 akiwa kakonda hoi kabisa alitokea mlima kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…