Safari Mkoa wa Tabora

Safari Mkoa wa Tabora

shegacool2015

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
394
Reaction score
133
Habari za jioni...
Jamani naenda kutembea Tabora huku nikiangalia fursa za biashara kutoka Dar kupeleka mkoa huoo...
Naomba ushauri, usafiri upi rahisi? hotel gani naweza kufikia ambapo si mbali na mjini Kati, asanteni
 
ukifika chukua hotel ya manchester au mwafrika hutajutia fedha yako hotel zote zipo karibu na stendi
pia kwa upande wa usafiri tumia usafir wa basi
 
Daaah umeni kumbusha mbali kidogo.
 
Attachments

  • 1407864643692.jpg
    1407864643692.jpg
    50 KB · Views: 366
ukifika chukua hotel ya manchester au mwafrika hutajutia fedha yako hotel zote zipo karibu na stendi
pia kwa upande wa usafiri tumia usafir wa basi

Nakumbuka niliingia hapo manchester ikiwa imezinduliwa wiki moja tu, ni lodge ya ukweli sana, Nyuma yake kuna kiwanja kinaitwa frankmann panafaa kupoozea uchovu wa kazi
 
OK asante, ipo maeneo gani na ni sh ngapi?? Alafu hilo jina kiukweli silipendi
 
wasalimie sana uramboo....kwetuu wasalimie sana akina mzee sitta,fundikira,kadelege,maguma kabuya,babu rage...na wenginee wengiii
 
karibu sana mboka kama utakuja na utatumia basi, basi tumia nbs ndio uhakika mengine tegemea lolote njiani
 
tipha bei zenu mkasi sana
ndio maana wengi wanakimbilia kwa mwakabarula kula supu ya mkia.
 
Tabora kuna hoteli mbili tu unazo weza kuishi na kufanya mikutano ya kibiashara , nazo ni Orioni au Tabora hotel na ya pili ni Frankmann hoteli , nyingine zote ni guest house. Ambazo ni Mwafrika, Manchester, Goodly , Zimbabwe etc .....

recommendation ya usafiri ni ndege ama private , mabasi ya huko ni kero tupu na yanakera sana .......
 
we tbr huijui, alaf inawezekana hujui nini maana ya hoteli, kingine jamaa hajakuambia anataka kufanya mikutano,
 
naomba kufahamu zaidi kuhusu wilaya iliyomegwa toka urambo nataka niombe uhamisho niende huko. vp kunafikika, ni km ngap toka tabora mjin? mm cjawahfika tabora
 
Tabora kuna hoteli mbili tu unazo weza kuishi na kufanya mikutano ya kibiashara , nazo ni Orioni au Tabora hotel na ya pili ni Frankmann hoteli , nyingine zote ni guest house. Ambazo ni Mwafrika, Manchester, Goodly , Zimbabwe etc .....

recommendation ya usafiri ni ndege ama private , mabasi ya huko ni kero tupu na yanakera sana .......

Asantee mkuuu
 
Nimeshauriwa ndege, kuna chatters zina route ya huko? Naomba kujuzwa
 
Uliza NBC kwenye kiti moto karibu na ofisi za wilaya tabora mjini.
 
Back
Top Bottom