nilifikiri 110Duuuuh usicheze na 109!!!
nilifikiri 110
110 ina masikio juu ya matairi
Du!Hii ni hatari,hebu jiulize Trafiki akiisimamisha gari hii huwa inakuaje?
Halafu mbele kidogo gari inapata ajali na kuua watu wengi huku Trafiki haulizwi lolote wala kuchukuliwa hatua yoyote,kweli hii ni Tanzania yenye neema ambapo kila kitu kinawezekana.Trafiki sehemu hizo hana matatizo kwani anakatiwa BUKU MBILI mchezo unakwisha!!