Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi


Imekaa vizuri sana, huu ni uchambuzi wa kina usio na tone la chuki wala ushabiki
 
Mimi ni mwanachama wa chadema,kiukweli kubenea ni ndumilakuwili,ila nnachoweza kukufunza ndugu mwandishi ni kwamBa uluzaliwa peke yako na utakufa peke yako.mambo ya utaifa kwenye pesa achana nayo as long as kusiwe na impact kwa taifa
 
Hata huyu Seif ni anatumiwa tu na hajijui,,Kubenea sio size yake hata kidogo.Kiufupi kubenea ni mwandishi bora,,mwenye kipaji na wa kipekee.Huyu alieandika anatumika au anatafuta umaarufu.
 
Hata huyu Seif ni anatumiwa tu na hajijui,,Kubenea sio size yake hata kidogo.Kiufupi kubenea ni mwandishi bora,,mwenye kipaji na wa kipekee.Huyu alieandika anatumika au anatafuta umaarufu.

Anatumika kwa posho ndogo sana
 

Endelea kubwabwaja wakati mwenzako yupo matawi ya juu wewe unashinda kwa njaa
 
ndio maana mawio na mwanahalisi yamegeuka kuwa ya Udaku Kuliko hata Ya Bro Shigongo
 

Wewe una elimu gani wewe?
 
Kashindye Ngalu na huyo mwandishi, Seif Rashid mnavielement vya umbea.habari kama hizi za upashkuna peleka FB.
 
Last edited by a moderator:
Yaelekea mwandishi wa makala hii au ana bifu na kubenea au ni wakala wa vyombo wale waliojaribu kumwua yeye na waandishi wenzie. Huyu ni mfitini, mwongo aliyebobea na anacheza na akili zetu bila kujua baadhi tuna ufahamu mpana mara mia zaidi yake. Nampa pole na kumwambia amepoteza muda wake bure.
 

ebu acha kuruka viunzi mkuu; la uongo lipi hapo? sema moja tu
 
Maoni ya watu humu utasema kana kwamba wote waliyochangia humu ni wanawake,maana naona wanaishia kumsuta mleta mada tu. Hata chizi hujiona mzima na kuwaona waliyowazima ndio machiz,hivyo kuishia kumshambulia tu mleta mada ni sawa na chizi mwenye kujiona mzima lakini kumbe muonekano wake pamoja na vitendo vyake hujieleza yeye ni mtu wa aina gani.
 

Aliyeandaa na kuandika hiyo yote na Paul Makonda Yule mkuu wa wilaya ambaye sasa ana bifu kubwa na kubenea
 

Wewe Umekariri Akili za Makonda na Nape hata hutaki kukubali mtizamo wa mtu au maoni ya wengine .
 
Imekaa vizuri sana, huu ni uchambuzi wa kina usio na tone la chuki wala ushabiki

Makonda tokea lini akampenda kubenea? Makonda kaamua kumchafua kubenea akidhani Watanzania ni wajinga hawatamjua haraka , lakini sasa kila mtu kujua kuwa aliyeandika hii story ya porojo ni Makonda mwenyewe.
 

Ukweli sababu ameandika unachoamini au ukweli sababu ameandika unachowish niwe kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…