Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

ninsi kubenea alivyomchana zitto kwenye mawio la leo,nashawishika kuwa mleta mada ni zuberi kabwe tofauti ni kwamba huyu mleta mada kaongea uzushi uzushi usio na ushahidi makini.
 
Chadema inasimamia misingi gani wewe Nyumbu?

Hawana misingi yoyote....taratibu wanapotea...baada ya msiba wa mawazo, agenda yao ni "kudai hatimiliki ya kila anachofanya Magufuli...."
Chadema ni kichekesho...
 

Dua la kuku magamba sasa mnajiharishia kwa ajili ya kubenea kuliongoza jimbo la ubungo na kwa kujua kuwa kubenea anaingia bungeni ndio mwisho wenu utakuwa umetimia maana jamaa anatisha kwa uchunguzi
 
Tunafanya siasa kwa mustakabali wa maisha yetu ya leo na kesho sio siasa za kiujanjaujanja za kusema leo hili jiwe kesho kilekile unasema mkate

Hata wewe kuna mambo uliyaamini zamani na baada ya kupata habari zaidi (kuwa well-informed) ulibadilika na kufanya hivi siyo dhambi hata kidogo. Zamani mimi nilikuwa siamini kama Mungu yupo na nilikuwa nawaona wanasali au wanaoenda kwenye nyuma za ibada kama wajinga vile. Leo naamini Mungu yupo na mimi mwenyewe nasali na kwenda pia kwenye nyumba za ibada. Ndiyo maana nikasema 'truth is always unfolding' na ni vizuri tukabadilika tunapopata habari au taarifa zinazorekebisha 'beliefs' ambazo zamani tuliamini ni kweli.
 
Hii ndiyo raha yajf.

Watu wanamjua kila mtu in and out,sasa ona Ndugu yangu anavyovuliwa nguo,

Kubenea omba msaasa kwa Moderator waondoe huu uzi,Watu wanafukunyua.

Kumbe hata shule ulikimbia? daah nimejifunza mambo mengi
 

Hata mimi mkuu nilikuwa huko,inabidi nwaombe radhi ndugu zangu ambao niliwarukana kwakuwa walikataa kujiunga na chadema.

Tumevuliwa nguo,mtu ambae nilikuwa kila siku nawapelekea gazeti la mwana halisi kuwaonyesha ufisadi wa Lowassa,baadae eti Lowassa anakuja kwetu?

Nilitamabu ardhi ipasuke nijifihe.
 
Mie mwenyewe nilishangazwa na zzk kumuachia nyumba kubenea.cjui kwa ulaya ila africa hakuna kitu kama icho.
 
Mimi kwa sasa vijarida vya udaku vya kubenea havinipotezei muda,nasima Tanzania Daima na Jamvi la Habari kwa sasa,ndio magazeti ambayo walau yana waandishi Weledi.
Kama ni ME wewe utakuwa sio timamu,Kutumia tu ID ya Jina la Mtu inaakisi hilo najua Mods Watakutendea haki.
 
Last edited by a moderator:
Ni upumbavu tu kumwamini kubenea
 

Kama kiingereza kinaweza kupunguza uwezo wa mtu kuongoza, bac nchi ipo hatarini maana the last time I heard that head of the state, I didnt understand what he meant labda km kusoma anaelewa lkn cha kuongea. BURE KABISA
 
Kubenea ni tepeli aliyebobea ngoja bunge lianze tutapata nafasi nzuri ya kumuanika...cdm lazima wamchukie
 
Kama kiingereza kinaweza kupunguza uwezo wa mtu kuongoza, bac nchi ipo hatarini maana the last time I heard that head of the state, I didnt understand what he meant labda km kusoma anaelewa lkn cha kuongea. BURE KABISA

Anajua km na wingi wa mifugo
 
Yes Mmawia.
Makonda ameshindwa kufuta kashifa ya kumbeba Riz1 na kuosha viatu sasa ananunua wajinga kama huyu.

Makonda kabebeshwa zigo kwa kumpa nafasi ya udc na hiyo yoote ni sababu ya mbeleko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…