Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

Upo vizuri mkuu100%
 
Mimi kwa sasa vijarida vya udaku vya kubenea havinipotezei muda,nasima Tanzania Daima na Jamvi la Habari kwa sasa,ndio magazeti ambayo walau yana waandishi Weledi.
 
Ccm ni zaidi walevi wa kimpumu ambao hawajui kesho wataishi vipi kwao maisha ni leo anapo piga kimpumu
 
"MTI WENYEMATUNDA SHARTI UPIGWE MAWE" hii ni dalili tosha kuwa Kamanda umewashika pabaya.Ni matumaini yangu kuwa Jiwe ulilorusha limewapiga wengi hivyo mayowe haya hayatakuzuia kurusha mawe mengi zaidi kwa maslahi ya wanyonge wa taifa hili. BIGUP KUBENEA
 
Huyu ni mwandishi wa habari kanjanja tu
 
...hebu soma mawio la leo ndio utajua hii habari wameitoa wapi,kwa kifupi bosi wao wa kigoma kachanwa vizuri sn,ndio kawatuma hawa misukule waje kuwanga hapa,aya karibia 6 za mwanzo zote wame copy na ku paste toka kwenye mawio la leo..

Vp kamchana kama hivi?!!
 
Huyo jamaa wa kigoma naamini uzeeni lazima ataishia kuwa mwanga na watu watamchoma moto
 
MTI WENYE MATUNDA LAZIMA UPIGWE MAWE. nidhahili kuwa jiwe ulilorusha gizani limewaponda wengi. sitegemei ukate tamaa kwa mayowe yao kwani wanyonge wa taifa hili tunakutegemea sana. BIGUP KUBENEA
 
Mimi kwa sasa vijarida vya udaku vya kubenea havinipotezei muda,nasima Tanzania Daima na Jamvi la Habari kwa sasa,ndio magazeti ambayo walau yana waandishi Weledi.

Ungekuwa na akili husingekubali kutumia hiyo ID
 
Wasalimie kwenu sengerema
 
makonda ndio amekutuma mtu mzma ovyo et hajui kusoma sasa
 
Last edited by a moderator:
Vp kamchana kama hivi?!!

Zamani tuliamini dunia ni mviringo. Leo hii tunaamini ina umbo kama yai (oval). Zamani tulijifunza kwamba kuna sayari tisa tu. Leo tunajifunza kuna zaidi. Truth is always unfolding.
 
Zamani tuliamini dunia ni mviringo. Leo hii tunaamini ina umbo kama yai (oval). Zamani tulijifunza kwamba kuna sayari tisa tu. Leo tunajifunza kuna zaidi. Truth is always unfolding.

Tukipata nyumbu wa aina hii katika siasa zetu tutakuwa tumekwisha acha watuchezee wanasiasa maana wenyewe hatuko serious tunaona kama maigizo tu nasi twacheza hivohico
 
Haya maoni humu yangekuwa yanatolewa kwa watu kuongea basi ingekuwa ni kelele tupu humu,maana ni kama wanawake wanasutana umbeya tu.
 
Tukipata nyumbu wa aina hii katika siasa zetu tutakuwa tumekwisha acha watuchezee wanasiasa maana wenyewe hatuko serious tunaona kama maigizo tu nasi twacheza hivohico

Unapokuwa mtoto mdogo unavaa nguo kulingana na size ya mwili wako kama mtoto mdogo. Unapokuwa mtu mzima unavaa nguo kulingana na size ya mwili wako kama mtu mzima. It's useless kudai mbona zamani ulikuwa unavaa nguo kaptula na shati dogo na leo unavaa suruali na shati kubwa.
 
Tunafanya siasa kwa mustakabali wa maisha yetu ya leo na kesho sio siasa za kiujanjaujanja za kusema leo hili jiwe kesho kilekile unasema mkate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…