Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

...hebu soma mawio la leo ndio utajua hii habari wameitoa wapi,kwa kifupi bosi wao wa kigoma kachanwa vizuri sn,ndio kawatuma hawa misukule waje kuwanga hapa,aya karibia 6 za mwanzo zote wame copy na ku paste toka kwenye mawio la leo..

Kubenea hata amchane nani si wa kuaminiwa ni kanjanja mganga njaa tu, Hata Lowasa alimchana hivi hivi na leo ndio anamlamba miguu! Kubenea ni jipu.
 
Nyumbu kwani wanajielewa wao wanasubili kuliwa tu, subiri hadi Nyumbu Mkuu akumbie Kubenea atagombea, Zitto kashatangaza hadharani hataomba PAC sijui unapiga kelele za nini
 
Last edited by a moderator:

...wamekurupushwa hawa wachumia tumbo na makala ya Kubenea kwenye mawio, hawajielewi wala hawaeleweki, waache misukule wa mwandiga!
 
Kubenea ni nembo kuu ya alama ya unafiki
 
Nyumbu kwani wanajielewa wao wanasubili kuliwa tu, subiri hadi Nyumbu Mkuu akumbie Kubenea atagombea, Zitto kashatangaza hadharani hataomba PAC sijui unapiga kelele za nini

...nyie wachawi,ni kipi kilichowashinda kuandika uzi wenu bila kuiba maneno kutoka kwenye mawio,nyie ni misukule ya mwandiga mnaisafisha rangi nyeusi iwe nyeupe,mtapasuka msamba!
 
Kaz maalumu alipewa huyu juz na makonda
Ingekuwa kweli ingetumika wakat wa kapmen na masabur
Gud job umejitahid
Umetumwa ili uchafue
 
Kwangu Kubenea ni bonge la kanjanja
 
...wakati wenzako wanatoka nje ya bunge kupinga uwepo wa Shein wewe unan'gan'gania kiti,unapongezwa na Magufuli, halafu baada ya siku mbili unakimbilia twitter unasema mshindi wa znz atangazwe!!!
 
Kukosa elimu ni jambo baya sana ktk maisha ya mwanadamu
 
Nyumbu kwani wanajielewa wao wanasubili kuliwa tu, subiri hadi Nyumbu Mkuu akumbie Kubenea atagombea, Zitto kashatangaza hadharani hataomba PAC sijui unapiga kelele za nini

kwa hiyo mshageuka mapweza watabiri hofu ya nn mnaishi kwa kuhis na kukisia fanya vitu kwa uhakika utabir peleka kwa watu wa ramli na waganga chonganish kama mleta uzi alivyowadaka ili uwe mwenyekit wa pac ni hatua zip zinapitiwa?
 
Hivi mnataja kupata wasifu wa Kubenea zaidi ya huo,huyo jamaa mimi nanfahamu vizuri,ni mtu mmoja ndumilakuli sana,hana cinsinstency kwenye mambo yake yeye ana consinstency kwenye madili tu.
 
kwa hiyo mshageuka mapweza watabiri hofu ya nn mnaishi kwa kuhis na kukisia fanya vitu kwa uhakika utabir peleka kwa watu wa ramli na waganga chonganish kama mleta uzi alivyowadaka ili uwe mwenyekit wa pac ni hatua zip zinapitiwa?

Hivi wewe unapata wapi ujasiri wa kumtetea Kubenea ? huoni aibu
 
...wamekurupushwa hawa wachumia tumbo na makala ya Kubenea kwenye mawio, hawajielewi wala hawaeleweki, waache misukule wa mwandiga!

kubenea anawakimbiza mbaya watalia sna wanabak kuweweseka tu
 
Last edited by a moderator:
Eti Zitto akikuwa anamwachia nyumba SK na yeye kwenda kulala hotelini! Kwa hiyo hata Diva alikuwa anamwacha na SK ajilie tuu kwa vile ni marafiki?
Mnapotunga hadithi muwe mnaangalia na tafsiri yake.
Na kuhusu huo uenyekiti wa PAC mtaona kama spika atampanga huyo mtu wenu kwenye hiyo kamati
 
Ndumila kuwili babu yako nyambizi
 
Hivi wewe unapata wapi ujasiri wa kumtetea Kubenea ? huoni aibu

kungekuwa na shida au aibu bas jimbo la ubungo lingekuwa chini ya ccm lakin kwa kuwa yupo makini kanyakua mchana kweupeee na waliomtangaza mshind ni ccm damu sio kama ww copy na jamaa kwa aibu (yako) ya ccm kaitoa kes mahakaman kwa ridhaa yake ile ya kupinga ule ushindi wa ubunge ss nani mwenye aibu hapo???
 
Sasa mpeleke mahakamani ili tujue kwamba kweli Kubenea ni Ndumilakuwili. Sio unakuja kupotezea muda humu. Sisiemu yote imeoza wenye akili ndiyo wanaelewa. Mazuzu tu kama wewe ndiyo yamebaki.

Nakuunga mkono 100%
 
Tangu Kubenea alipogeuka na kuanza kuwa kuwadi wa watu aliotutangazia ni mafisadi,basi sinunui tena Magazeti yake maana ni ujinga jitu zima kuwa liongo tena kwa kutumia vyombo vya habari.

Mara Lowassa Fisadi Papa asiesafishika....

Mara Lowassa mwana mabadiliki na mwenye ushahidi aende mahakamani.

Sasa nami niwaulize pro mcgumia tumbo(Kubenea) Alimchafua Lowassa akiwa hana ithibati ya tuhuma zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…