Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

Siwezi kusoma habari za huyu jamaaa hata siku moja.namwona .weupe san@....!!!!
 
Nani kakuambia sio mwenyewe? Unacheza na dogo wewe! Hii ndio style take ila safari hii kaingia choose cha kike
Mwami Zitto Kabwe Ruyagwa, ni kiongozi aliyetuinspire wengi hahitaji kuja humu wakati tunaomuunga mkono uwezo wa kuingia humu tunao, nia tunayo na sababu tunayo. Yapo majukumu makubwa tumemuagiza wananchi wa Tanzania hapaswi kuja humu kujibu hoja za chekechea, za wanaoumwa ugonjwa wa chuki. Tutaendelea kuwa-tune mpaka muwe sawa. Endeleeni kuweweseka kwa kupiga ramli chonganishi huku mkibahatisha bahati nasibu kwa utabiri wa nyota ambao hauna ukweli. NB: Mwami huko Buha (Kigoma) ni Kiongozi Mfalme wa wengi kabila na koo mbalimbali (Mpakwa Mafuta) usije mchezea ukadhani akikaa kimya wafuasi wake tutakuacha salama. (NYUMBU HAWANA DIRECTION)
 
Kumbe ni kweli kuwa huko Chigoma ni kiongozi wa kiroho? aka Ayatula?
Maajabu ya musa haya!
 
Wakati ukuta!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi kama huu umepotea sasa hivi jamii forum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mengi aliyoandika ni kweli Na kuna mengine yalikuwa hayajulikani Na mengine mwandishi hakuandika au ayajui,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…