Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,027
- Thread starter
- #21
Wamuache mpanzu?Wanaenda pre season haraka haraka ili kutuliza upepo mbaya?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app

Shida ni kiwango chakeKama anaenda ,nae mwacheni aende. Wachezaji kama hawa ndio wanaipa Simba usugu wa kutoumia. Alianza Chama, akafuata Tshabalala watuwameshamsahau hata msimu mpya haujaanza, na huyu nae kama vipi asepe tu
Amekudanganya mkuu....nipo Cairo international airport hapaEllie Mpanzu tayari amesharipoti Misri asubuhi ya leo kwa ajili ya kujiunga na wenzake kambini. Taarifa hii nimeipata kutoka kwa mwanasimba mwenzangu Kalpana muda si mrefu hapa Mpunguzi Dodoma.
Tatizo kama hakutaki utamng'ang'ania halafu utamkosa. Kama anataka kucheza aende kambini ili aingie kwenye mipango ya kocha.Kwa kile kiwango chake.... lazima simba wamng'ang'anie
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapo roho yako kwatuuu"Taarifa za Kuaminika Kutoka Kambi ya Simba sports Ismailia Misri ni Kwamba Elie Mpanzu KIBISAWALA bado hajafika na hapokei simu za Viongozi..
Kundi la Pili Wachezaji ambao hawapo Kwenye Michuano ya CHAN wameripoti jana bila Jina la Elie Mpanzu na Kuzua wasi wasi na hofu Kubwa kwa Viongozi
Viongozi pia wamejaribu Kumfikia Elie Mpanzu Kupitia Meneja wake cha Kushangaza bado wamekosa Ushirikiano Kabisa.
Viongozi wameweka Mpaka Mwisho Leo Elie Mpanzu Kuwasili Kambini Ismailia Kabla hawajachukua hatua za Juu zaidi za Kinidhamu.
Hii sio Good Morning Kwa Lunyasi".
Ameandika Mchambuzi Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram
#scopeboii #ScopeMediaView attachment 3430735
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwani KIBU aliyewafanyia haya mwaka jana walimuacha? Si alipokelewa kishuja siku ya tamasha
Utopolo mmeshaanza na propaganda zenu."Taarifa za Kuaminika Kutoka Kambi ya Simba sports Ismailia Misri ni Kwamba Elie Mpanzu KIBISAWALA bado hajafika na hapokei simu za Viongozi..
Kundi la Pili Wachezaji ambao hawapo Kwenye Michuano ya CHAN wameripoti jana bila Jina la Elie Mpanzu na Kuzua wasi wasi na hofu Kubwa kwa Viongozi
Viongozi pia wamejaribu Kumfikia Elie Mpanzu Kupitia Meneja wake cha Kushangaza bado wamekosa Ushirikiano Kabisa.
Viongozi wameweka Mpaka Mwisho Leo Elie Mpanzu Kuwasili Kambini Ismailia Kabla hawajachukua hatua za Juu zaidi za Kinidhamu.
Hii sio Good Morning Kwa Lunyasi".
Ameandika Mchambuzi Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram
#scopeboii #ScopeMediaView attachment 3430735
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ukweli mtupu huu.Hizi ni trick tu zinafanyika, kwa wageni wa haya mambo ndio wataona serious. Hawa wanafanya hivi ili baadae waje ku-make headlines kuwa mwamba bado yupo na wanatamba nae
NakaziaIkifika jioni ya leo upost tena muendelezo wa hii habari yako
Wewe ndiye CEO wa Simba ?"Taarifa za Kuaminika Kutoka Kambi ya Simba sports Ismailia Misri ni Kwamba Elie Mpanzu KIBISAWALA bado hajafika na hapokei simu za Viongozi..
Kundi la Pili Wachezaji ambao hawapo Kwenye Michuano ya CHAN wameripoti jana bila Jina la Elie Mpanzu na Kuzua wasi wasi na hofu Kubwa kwa Viongozi
Viongozi pia wamejaribu Kumfikia Elie Mpanzu Kupitia Meneja wake cha Kushangaza bado wamekosa Ushirikiano Kabisa.
Viongozi wameweka Mpaka Mwisho Leo Elie Mpanzu Kuwasili Kambini Ismailia Kabla hawajachukua hatua za Juu zaidi za Kinidhamu.
Hii sio Good Morning Kwa Lunyasi".
Ameandika Mchambuzi Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram
#scopeboii #ScopeMediaView attachment 3430735
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Kwani KIBU aliyewafanyia haya mwaka jana walimuacha? Si alipokelewa kishuja siku ya tamasha
Yajayo yanatishaLabda mpanzu wa kidimbwi cha vyura
Ila Mpanzu wa Simba Sc Yupo njiani Kuelekea Misri kuungana na wenzake
Simba kwenye Mikataba na Wachezaji huwa Haina konakona inatoa mikataba iliyonyooka
Inatakiwa wamnunulie simu na lineLabda simu ameisahahu kwake. wavute subir
Akili za usiku hizi"Taarifa za Kuaminika Kutoka Kambi ya Simba sports Ismailia Misri ni Kwamba Elie Mpanzu KIBISAWALA bado hajafika na hapokei simu za Viongozi..
Kundi la Pili Wachezaji ambao hawapo Kwenye Michuano ya CHAN wameripoti jana bila Jina la Elie Mpanzu na Kuzua wasi wasi na hofu Kubwa kwa Viongozi
Viongozi pia wamejaribu Kumfikia Elie Mpanzu Kupitia Meneja wake cha Kushangaza bado wamekosa Ushirikiano Kabisa.
Viongozi wameweka Mpaka Mwisho Leo Elie Mpanzu Kuwasili Kambini Ismailia Kabla hawajachukua hatua za Juu zaidi za Kinidhamu.
Hii sio Good Morning Kwa Lunyasi".
Ameandika Mchambuzi Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram
#scopeboii #ScopeMediaView attachment 3430735
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hiyo timu inayomtaka si inajua nini cha kufanya! au wanataka mtelezo. Ni wachezaji wa Africa kuwa na tamaa tu, wafuate taratibu.Hapana mkuu.... mpanzu kuna timu amepata so kipengele Cha ku terminate mkataba ni 350M ....but Simba wamekaza
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
wamuwekee na bundleInatakiwa wamununulie simu na line