Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
"Taarifa za Kuaminika Kutoka Kambi ya Simba sports Ismailia Misri ni Kwamba Elie Mpanzu KIBISAWALA bado hajafika na hapokei simu za Viongozi..
Kundi la Pili Wachezaji ambao hawapo Kwenye Michuano ya CHAN wameripoti jana bila Jina la Elie Mpanzu na Kuzua wasi wasi na hofu Kubwa kwa Viongozi
Viongozi pia wamejaribu Kumfikia Elie Mpanzu Kupitia Meneja wake cha Kushangaza bado wamekosa Ushirikiano Kabisa.
Viongozi wameweka Mpaka Mwisho Leo Elie Mpanzu Kuwasili Kambini Ismailia Kabla hawajachukua hatua za Juu zaidi za Kinidhamu.
Hii sio Good Morning Kwa Lunyasi".
Ameandika Mchambuzi Wilson Oruma kupitia ukurasa wake wa Instagram
#scopeboii #ScopeMedia
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app