Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

na vile hawajatoa sababu ya ugomvi halafu ni mtu mweusi, lazima itapokelewa negatively.
Yaani lazima atasemwa yeye tu
Aliyeanzisha ugomvi ataachwa.
Ni ubaguzi tu na kutaka kumchafua kijana wetu huyu mwenye nidhamu katika kazi na maisha yake kwa ujumla.

Kati ya waislam safi hapa duniani,na huyu jamaa yupo.
 
Ah kawaida hiyo yote mapito huwezi fanya kazi ulaya ukiwa mweusi alafu usitegemee kubaguliwa.
Dah nimeumia
Jamaa ni mtu poa sana na amevumilia mengi.
Naona sasa wanataka kujaribu CV yake kwa nguvu.

Huyo Sane anataka Mane achafuke.
Wamuache kijana wa watu jamani,ana watu wengi nyuma yake wanamtegemea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom