MTEMI WA KIJANI
Member
- Mar 5, 2016
- 39
- 62
UVCCM IMEPOTEZA DIRA NA MWELEKEO KWA SABABU YA HUYU KIONGOZI MBOVU,TOKEA AWE MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA NDUGU SADIFA JUMUIYA HII IMEYUMBA SANA KUTOKANA NA KUENDEKEZA RUSHWA ,UFISADI NA UDINI.SADIFA NDIO AMEIFANYA JUMUIYA YA UVCCM KUWA KAMA SEHEMU YA KUPIGA DILI BADALA YA KUWASAIDIA VIJANA ILI KUHAKIKISHA CCM INASONGA MBELE,,,ANAHUSIKA NA UUZAJI WA MASHAMBA YA UVCCM IRINGA AMBAYO NI ZAIDI YA HEKA 700,,KUTOKANA NA PESA ZA UVCCM HUYU JAMAA AMEJENGA GHOROFA KUBWA DAR,,,SUALA LA UDINI TOKEA AMECHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AMEKUWA HAPENDI KUFANYA KAZI NA WAKRISTO KITU AMBACHO KIMEPELEKEA YEYE KUWAFUKUZISHA KAZI WATENDAJI WENGI AMBAO SIO WA DINI YAKE ,,,UDINI WAKE UNAJIDHIHIRISHA KATIKA KUFANYA TEUZI MBALIMBALI NDANI YA UVCCM WATU AMBAO AMEKUWA AKIWATEUA NI WAISILAM.SADIFA AMESHINDWA KUFUKUZA WASALITI NDANI YA CHAMA HII NI KWA SABABU WASALITI HAO WA KIPINDI CHA UCHAGUZI ALIKUWA NAO KATIKA TIMU MOJA KABLA LOWASSA HAJAHAMIA CHADEMA,,,WAPO WATENDAJI KADHAA KIPINDI CHA KAMPENI WALIKUWA HAWAMSUPPORT MAGUFULI NA WANAJULIKANA KABSA,,KIPINDI KILEKILE WALIPOBAINIKA WALISIMAMISHWA KAZI LAKINI KITU CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA BAADA YA UCHAGUZI KUMALIZIKA SADIFA KAWARUDISHA KAZINI WASALITI HAO AMBAO WALIPASWA WAFUKUZWE KAZI NA UANACHAMA,,REASON BEHIND WALIKUWOTE TEAM MAMVI KIPINDI CHA UCHAGUZI.
YAPO MAMBO MENGI YANAYOMFANYA SADIFA KUKOSA SIFA YA KUENDELEA KUONGOZA UVCCM KAMA MWENYEKITI IKIWA NIPAMOJA NA KUWA NA MAJUKUMU MENGINE YA UBUNGE,,,HII INAMPELEKEA KUSHINDWA HATA KUFANYA ZIARA MBALIMBALI ZENYE MALENGO YA KUIMARISHA JUMUIYA HII NI BUSARA ZAIDI AKAACHIA NGAZI KAMA ALIVYOFANYA ALIYEKUWA KATIBU MTENDAJI BWANA SIXTUS MAPUNDA BAADA YA KUCHAGULIWA KUWA MBUNGE.
ANAMAOVU MENGI SANA HUYU MTU KWA HALI ILIYOPO SASA HIVI HAENDANI NA KASI YA RAIS WETU AMEKUWA NI MZIGO SANA KATIKA UVCCM..
SISI VIJANA TULIOMSTARI WA MBELE KUKIPIGANIA CHAMA TUNAMUOMBA KATIBU MKUU WA CCM KUINGILIA KATI JUMUIYA HII INAYOONGOZWA NA FAILED LEADERS AMBAO WANAITUMIA KAMA MRADI WA KUJIPATIA PESA NA KUJITAJIRISHA KUPITIA MIRADI MBALIMBALI YA JUMUIYA HII.
VIONGOZI WA UVCCM TAIFA WAKIONGOZWA NA SADIFA JUMA WANATAKIWA KUCHUNGUZWA KUTOKANA NA TUHUMA ZA UFISADI NA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA PAMOJA NA SUALA LA KUENDEKEZA UDINI NDANI YA JUMUIYA....KINANA INGILIA KATI KUTUMBUA MAJIPU HAYA YALIYOPO NDANI YA UVCCM USISUBIRIE MPAKA MAGUFULI AKABIDHIWE KITI.
"BILA CCM MATHUBUTI NCHI YETU ITAYUMBA,MWL NYERERE 1995".NITASEMA UKWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.