Sad but so true

Sad but so true

karakana

Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
13
Reaction score
2
Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama malikia wa nyuki na Makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi,Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono,THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX

Ndo maana utashangaa Mtu amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa demu wa 'kawaidaaaa' mwenye sura kama amepiga chafya isiyotarajiwa halafu unaanza kujiuliza huyu Kaka amekosa nini,Hajakosa kitu,amevumbua dhahabu.Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI,MSHAURI,MBEMBELEZAJI,MTIA MOYO,MWENYE MAONO,Sio Mwanamke anajua Club zote mpya ilizofunguliwa Wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plot zinauzwa Madale ili amshauri mmewe ku-acquire Land.

Utashangaa na mkalio wako kama dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa bishosti hajawahi kuvaa kipedo tangu azaliwe,anavaa charanga.

Kama unadhani Shepu ni mali nenda kaombe kazi Twanga Pepeta,Tutaendelea kuoa wanaojielewa kwa sababu they are smart na wanajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama Mtazamaji kwa sababu HUOLEKI
 
hahahahahhahahaha et sura kam anapiga chafya hiyo sura inakuwaje jamani naomba picha
 
Woooooooo! Wooooooooo! THIS GOES FOR BOTH SEXES!!!!!!!!!!

Woooooooo! Wooooooooo! THIS GOES FOR BOTH SEXES!!!!!!!!!!

Plot Madale!!!!!!! Negro Pleaseeeee!!!!!!!! Niache kuchukua hilo plot mimi binafsi lininufaishe na ndugu zangu mbeleni huko eti nikushauri wewe ukanunue!!!!!!? Hell no! Labda NIKUSHAURI UKANINUNULIE AU UNIKOPESHE NIKANUNUE MIMI KAMA MIMI.

As much as i love you dear n adore you so much, BUT REAL ESTATE IS JUST NOT A JOINT MATTER!!!!!!!!! Everybody for himself and God for us all.

Nikushauri aje akae demu wako wa ulaya??????/ Thubutuuuuuuuu! Umri huu SIJAWAHI WALA SINA MPANGO WA KUFANYA MAENDELEO YOYOTE NA BF A.K.A KIBUZI A.K.A KITEGA UCHUMI! Ni bata kwa kwenda mbeleee! AKIJENGA IZI NYUMBA MJINI APANGE NANI? Ebooooooooo!

Usiombe upate buzi LINAJENGA!!!!!!!!! Utakopwa mpakaushangae na roho yako! Bia anakunywa kwa mawazo. Akhaaaaaaaaa!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
hahahahahhahahaha et sura kam anapiga chafya hiyo sura inakuwaje jamani naomba picha

IMG_1656.jpg
 
Mutatis Mutandis.. Yeees!!! Ceteris Peribus.... Hell No!!

Is this real anyway!!!

Woooooooo! Wooooooooo! THIS GOES FOR BOTH SEXES!!!!!!!!!!

Woooooooo! Wooooooooo! THIS GOES FOR BOTH SEXES!!!!!!!!!!

Plot Madale!!!!!!! Negro Pleaseeeee!!!!!!!! Niache kuchukua hilo plot mimi binafsi lininufaishe na ndugu zangu mbeleni huko eti nikushauri wewe ukanunue!!!!!!? Hell no! Labda NIKUSHAURI UKANINUNULIE AU UNIKOPESHE NIKANUNUE MIMI KAMA MIMI.

As much as i love you dear n adore you so much, BUT REAL ESTATE IS JUST NOT A JOINT MATTER!!!!!!!!! Everybody for himself and God for us all.

Nikushauri aje akae demu wako wa ulaya??????/ Thubutuuuuuuuu! Umri huu SIJAWAHI WALA SINA MPANGO WA KUFANYA MAENDELEO YOYOTE NA BF A.K.A KIBUZI A.K.A KITEGA UCHUMI! Ni bata kwa kwenda mbeleee! AKIJENGA IZI NYUMBA MJINI APANGE NANI? Ebooooooooo!

Usiombe upate buzi LINAJENGA!!!!!!!!! Utakopwa mpakaushangae na roho yako! Bia anakunywa kwa mawazo. Akhaaaaaaaaa!
 
I beg to differ ,napenda mwanamke mzuri sana kwa umbo na sura ,sihitaji ushauri wake kwa sababu kiukweli najiona ni smart boy( from the neck up), pia akinizingua sioni kazi kuachana nae .
 
Hahaha... Ningekatikaje maini!!!!

Maana apo unakuwa umeshategeneza kola kidogo, tai imekaa sawa, unasmile kwa mbaali, unapangusa uso vzr (unafikiri anakuona).... unategemea sauti nyororo ikupokee.. hamadiiii ... Mimi HOE tigo customer care hapa.. naongea na nani na nikusaidie nini tafadhali!!!!!! ....... mi mi..mi...TZ, oohh nilikua naulizia ile ofa ya Joti..nataka ninunue line ya pili.... blah blaah kibao.....

hahahaaaaaaaaaa

umenichekesha unapiga unakutana na karibu TIGO huduma kwa wateja
 
Back
Top Bottom