LOWASA ndiye rais 2015 rais kijana kabisa mwenye nguvu sio lizee lenu Slaa 2015 atakuwa na miaka 80 dhaiiifuuu
Happy birthday President Lowassa! We trust you.
Sema CDM mko macho sio watanzania, Lowasa atachaguliwa na watanzania tena wa miji hiyo hiyo ulio itaja. Mwisho wa maneno ni kwenye sanduku la kura. Hata kura yako itakua ya Lowasa, upende usipende.
kaanzie kunya fesbukcahdema ikichukua nchi 2015 nakunya JF
Ngoja tutoe elimu kwanza ifikapo Mwaka 2014 kazi itakuwa ni "Piga Kura, Linda Kura"Sema CDM mko macho sio watanzania, Lowasa atachaguliwa na watanzania tena wa miji hiyo hiyo ulio itaja. Mwisho wa maneno ni kwenye sanduku la kura. Hata kura yako itakua ya Lowasa, upende usipende.
LOWASA ndiye rais 2015 rais kijana kabisa mwenye nguvu sio lizee lenu Slaa 2015 atakuwa na miaka 80 dhaiiifuuu