Huyu ndio atakuwa rais wako 2015 na ndio atawashikisha adabu nyie gwandaz. Sijui mtakimbilia wapi.Lowassa anatimiza miaka 59 tangu alipozaliwa binafsi simutakii maisha marefu mpaka arudishe maisha ya watanzania walikufa kwa kukosa madwa hospitalini huku yeye akijichotea mabilioni kiujanjaujana na jamaa zake Kikwete na Rostam Aziz..Je lowasa nilini utarudisha pesa yetu na maisha ya waliotangulia mbele ya haki kwa ufisadi wako au nilini utalipa pesa zetu na faida huku ukiamua kujinyonga mwenyewe..
sensa njema
Kama ameiba mwambie Slaa aende mahakamani sio kuleta porojo tu humu.Namtakia maisha marefu Ed Lowasa,
Ashuhudie M4C inavochukua nchi 2015,
He should live long enough to be prosecuted for crimes against humanity,
For killing and disabling millions,
Long enough but painful life behind bars.
Happy Birth day Lowasa.
Huyu ndio atakuwa rais wako 2015 na ndio atawashikisha adabu nyie gwandaz. Sijui mtakimbilia wapi.
Slaa ndiye mwanasheria mkuu wa serikali????? Tafakari.Kama ameiba mwambie Slaa aende mahakamani sio kuleta porojo tu humu.
unajua kwanini kikwete alifanikiwa kuwa raisi tena kwa zaidi ya asilimia 80? safari michezo yao tunazijua waanzishe magazeti wafungue radio station watakavyo lakini watanzania tuko macho mwambie akatize A town,shy,mwanza,mbeya..labda atakwa raisi wa wewe na mmeo..
kamwibia Slaa?Kama ameiba mwambie Slaa aende mahakamani sio kuleta porojo tu humu.
Kama ameiba mwambie Slaa aende mahakamani sio kuleta porojo tu humu.
Kama ameiba mwambie Slaa aende mahakamani sio kuleta porojo tu humu.
leo fisadi namba 3 anatimiza miaka 59 tangu alipozaliwa binafsi simutakii maisha marefu mpaka arudishe maisha ya watanzania walikufa kwa kukosa madwa hospitalini huku yeye akijichotea mabilioni kiujanjaujana na jamaa zake Kikwete na Rostam Aziz..Je lowasa nilini utarudisha pesa yetu na maisha ya waliotangulia mbele ya haki kwa ufisadi wako au nilini utalipa pesa zetu na faida huku ukiamua kujinyonga mwenyewe..
sensa njema
LOWASA ndiye rais 2015 rais kijana kabisa mwenye nguvu sio lizee lenu Slaa 2015 atakuwa na miaka 80 dhaiiifuuu
Huyu ndio atakuwa rais wako 2015 na ndio atawashikisha adabu nyie gwandaz. Sijui mtakimbilia wapi.
Kama ameiba mwambie Slaa aende mahakamani sio kuleta porojo tu humu.
kama ameiba mwambie slaa aende mahakamani sio kuleta porojo tu humu.
Huyu ndio atakuwa rais wako 2015 na ndio atawashikisha adabu nyie gwandaz. Sijui mtakimbilia wapi.