Hivi haiwezekani tamko la mtu mmoja likatumia hilo hilo! Au nchi imekuwa chini ya uongozi wa samaki aina ya kambale! Yaani kila anaona ana sifa ya kutoa tamko!
Kama ni hivyo basi na mimi natoa tamko rasmi!
Msiwatishe wananchi! Kwanza hii nchi siyo mali yenu. Ni mali ya Wananchi wote.