Sabuni za kurudisha ubikira balaa!

Hiyo sabuni bilashaka ni yakichina
 
Huyo ameamua kuwapa facts hajapepesa macho hata kidogo what I know Bikra ni Non renewable material and will always be
 
Binafsi sipendi mwanamke mwenye bikira...
 
Kwanza wanawake wenye bikra Ni wasumbufu balaa siwataki hata kidogo
 
hiyo ikishatoka imetoka
ivo vitu vingine ni kujimumiza tu
 
yaani nikifanikiwa kufika miaka 80 hivi......ntashuhudia mengi
 
Nikikutana na bikra huwa naona kama nimekutana na Betamax, I always wonder "do they still make you?"
 
Bikra ipo tu sikuhizi? Msijebaka tuu
 
na wanawake jinsi wasivyoshaurika sidhani kama hili somo watalielewa. ikiwa mikorogo ndiyo yenye madhara makubwa lakini wamegoma kuiacha, itakuwaje hii mikaisiki? waacheni tu waangamie na uji.nga wao!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…