Ni vigumu sana kwa sasa kukuta subwoofer haina bluetooth support na remote controller. Ni trend ya watengenezaji kuweka hizo requirements vinginevyo uuzaji wake utasumbua sana. Kwa hiyo jibu ni NDIO.ok sawa ila nataka kujaua tu kama zna remote system ama bluetooth
Naomba nipigie kwenye number 0793706080Habar wana jamv naitaj kujua sabufa aina ya pineetech pt v3 zinamfumo wa remot na bluetooth kwa waliotumia aina hvyo ya bufa msaada