Mjamii
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 1,027
- 314
Nimefuatilia kwa muda mrefu kuhusu ahadi alizotoa mzee Sabodo ya kuchimba visima vya maji. Wiki iliyopita nimegundua kuwa mpaka sasa hivi hajachimba hata kimoja. Swali kwa mzee Sabodo: Je! Ahadi zake ilikuwa ni kuwahamanisha wananchi? Je anataka wananchi wauone uongozi wa CHADEMA kuwa ni wametafuna fedha? Je? Ni CCM imemtisha hivyo akaacha kutimiza ahadi zake?
