MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Je SABODO hajatumwa na CCM kuibomoa CHADEMA?
Mkuu , Defensive mechanism. Anasoma alama za nyakati si unajua tena mambo ya ufuaji wa fedha haramu (Money Loundering). Kapata utajiri akiwa CCM, anasaidia CDM akiwa CCM. Nadhani jibu liko wazi Sabodo ama katumwa au anajaribu kuwa kama Sarafu(Pande mbili). Lakini swali la msingi tu hapa kwa Makamanda siku wakichukua nchi Sabodo watamueza? au nao wamewaonea wivu wenzao wa CCM(Wanataka kuwa na ROSTI YA HAMU) wao?Tangu Sabodo alipoanza kumwaga fedha CHADEMA kumekuwepo na makundi mawili yanayopingana wale wanaosema msaada huo unaonyesha kwamba Sabodo ni mzalendo na wale ambao wanasema Sabodo anajiandalia mazingira mazuri kwa kucheza karata zake vema endapo CHADEMA wanakamata dola.
Mara nyingi tumekuwa na hofu CCM inapopata msaada wa fedha kutoka kwa wafanyabishara lakini hofu hiyo hutuondoka CHADEMA inapopewa fedha na wafanyabiashara. Sabodo akitoa fedha CCM tumesikia makofi machache JF lakini akitoa fedha chadema makofi mengi.
Ni nini maana ya SABODO kutumikia vyama vya siasa viwili?
Kama SABODO amekosana na CCM anaogopa nini kujiondoa badala ya kuwa kama mwanamke mwenye mabwana wawili?
Je SABODO hajatumwa na CCM kuibomoa CHADEMA?
Tangu Sabodo alipoanza kumwaga fedha CHADEMA kumekuwepo na makundi mawili yanayopingana wale wanaosema msaada huo unaonyesha kwamba Sabodo ni mzalendo na wale ambao wanasema Sabodo anajiandalia mazingira mazuri kwa kucheza karata zake vema endapo CHADEMA wanakamata dola.

aisee kama ccm imemtuma huyo mhindi aibomoe chadema kwa kuwapa shs million 200 na kuwaahidi kuwajengea ofisi mpya za makao makuu mh...basi na mi naomba huyo mhindi atumwe kwangu kunibomoa anipige na shs million 20 za fasta fasta:shock:
Huo ni mtandao wa RA na ED ndo unajipenyeza ili mwisho wa siku mambo yale yale tuliokuwa tunapigia debe kuwa tunayakataa. Hivi unataka kuniambia kuwa mpaka hapo kuna tofauti kati ya CCM na CHADEMA kweli? CCM ukitoa herufi ya kati jibu= CM, CDM ukitoa herufi ya kati jibu=CM. Wafadhili wakuu wa CCM, wafanyabiashara, Wafadhili wakuu wa CDM, wafanyabiashara. Wanachama wengi wa CDM, kutoka CCM. Majina yao ya utani MAGWANGA kwa MAGAMBA, mule mule tu. Mbinu za ushindi zile zile iba niibe, piga nipige, tukana nitukane, hakuna anayejifanya mjinga. Mafahari wawili wanapogomba zinazoumia ni Nyasi na tutaimia weli.aisee kama ccm imemtuma huyo mhindi aibomoe chadema kwa kuwapa shs million 200 na kuwaahidi kuwajengea ofisi mpya za makao makuu mh...basi na mi naomba huyo mhindi atumwe kwangu kunibomoa anipige na shs million 20 za fasta fasta:shock:
mbona mnawasiwasi sana na huyu mzee wkt ashajizeekea hana cku nyingi huyo mwacheni atoe.[/QUOTE
SABODO hana kosa jamani, yeye ni mfanyabiashara, CDM kinamilikiwa na wafanyabiashara so ana haki ya kuwasaidia wafanyabiashara wenzake. Inawezekana akawa na hisa huko.
Ulikuwa na maana ya mjadala? Hiki kiswahili jamani mbona tunacho kila siku? au Jazba Mkuu. Tatizo siyo kusaidia CCM ama CDM , tatizo nini lengo lake? asichunguzwe biashara zake sasa au hata baadaye au au ni ongezeko la wafanyabiashara wanaosafisha peza zao. Hii ni hatari sana.Mjadara wa kipuuzi kabisa,mbona wakati anatoa CCM mlikuwa hamsemi?acheni wivu wa kijinga alaaa!!!.
Ulikuwa na maana ya mjadala? Hiki kiswahili jamani mbona tunacho kila siku? au Jazba Mkuu. Tatizo siyo kusaidia CCM ama CDM , tatizo nini lengo lake? asichunguzwe biashara zake sasa au hata baadaye au au ni ongezeko la wafanyabiashara wanaosafisha peza zao. Hii ni hatari sana.