Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 23,282 Reaction score 33,880 Mar 13, 2022 #1 TANU YASHEHEREKEA SIKUKUU YA SABASABA 1956 Picha hiyo hapo chini iliyopigwa na Mohamed Shebe sasa ni maarufu hapa jamvini kwani mara nyingi nimeibandika hapa. Nairejesha tena hapa jamvini safari hii kwa sababu ipo katika gazeti la Mwangaza la Julai 1956. Nakuomba msomaji wangu usome maelezo ya picha hii.
TANU YASHEHEREKEA SIKUKUU YA SABASABA 1956 Picha hiyo hapo chini iliyopigwa na Mohamed Shebe sasa ni maarufu hapa jamvini kwani mara nyingi nimeibandika hapa. Nairejesha tena hapa jamvini safari hii kwa sababu ipo katika gazeti la Mwangaza la Julai 1956. Nakuomba msomaji wangu usome maelezo ya picha hii.